Safaricom wants the government to lock Starlink satellite out of Kenyan market

No one will die, everyone will have a share of the market

2 Likes

It’s better when the money ends up in local pockets za safaricom shareholders, agents and employees than sending cash monthly to elon musk huko US.

Uliskia Elon halipi tax

:green_emoji:

The internet itself is not owned by any Kenyan, everyone is a broker. Atleast we will cut off the broker and tap directly from the foreigner.

2 Likes

makes a lot of sense. This is where the disruption will take place (reseller market)

Ndio hawa

1 Like

https://x.com/Kotsocha_ke/status/1827387287929307372

Extremely poor standard cabling, cables all over basically unprofessional Kienyeji set up

We want safcom WiFi at 1k wamalize hii maneno

1 Like

Ukisoma hapa chini, utaona Safaricom vodacom-AST SpaceMobile partnership may yet come up with a better/cheaper option like satellite internet direct to your 4G, 5G phone.
Eliminating the need for any extra h/w

1 Like

Where will all the mpesa agents go safaricom ikianguka? How will we make payments and tranfer cash. We should all guard safaricom jealously. Safaricom ikianguka @sani hataweza kulipa bill ya chai na mandazi ya 10 bob hapo mau forest na starlink.

Nakumatt ilicollapse, zile buildings walikuwa hakuna enye ilibaki empty, new players walikuja, wakaemploy watu, kwanza wengi zaidi.

Dunia haiwezi simama eti sababu kuna company imecollapse.

Mkianza kuabudu safaricom, eti mnauliza ikianguka tutaenda wapi, io safaricom itakuja kuwafira, na itakuwa inajua ata iwafanyie nini, hakuna kitu mnaeza fanya.

izi companies lazima zikatwe pembe kabla zianze kumea kiburi.

8 Likes

There’s Airtel money. Safaricon should die they killed posta , they should also die ,the only constant thing in the universe is change. If the mighty Nokia died whose safaricon

4 Likes

Hatutaki wajifire nayo. Long live Elon musk. Huyo mblikimo ako na Roho chafu kuliko hio kinyesi yake.

1 Like

@bra_bra_cupship ii safaricom hapo awali walikuwa wanauza 2gb for 3000, na kwanza wewe kama sio company kubwa, io 2gb hukua unauziwa.

1 Like

@bra_bra_cupship our young girls are being murdered in cold blood working in mpesa shops, yet kwa izo shop hakunaga single coin ya safaricom, kila siku unalalisha 100k yako hapo bila kuifanyisha biashara ingine, mwisho wa mwezi unapewa commission ya 7k, ama pia saa zengine wanakunyima io commission, yaani Safaricom imefanya wakenya watumwa na hakuna shillingi wame invest kwa ground.

saa zote wakenya hulipa set-up cost kwa kila kitu, so hakuna kitu wametufanyia.

halafu, kwa countries zengine, smartphone hupeanwa bure, bora unajicommit kununua data bundles za 3k monthly kwenda juu.

kenya ushai ona simu ya bure kwa Safaricom? Yet tunanunua data ya more than 5k monthly

2 Likes

1 Like