Safaricom customer care job

Anyone in this kijiji who knows what net they earn when starting.
Nimeona mahali ati ni 35k.dunmo if ni gross au wat?
Allowances?

Naskia iko kazi 300 zinakuja.

Mbirioneyas wa hapa cunt relate.

Na si uunganishie huyu Chinese pia yeye akunywage kakitu wkend.

1 Like

Worse thing about this kijiji… Sema hivyo na some of your relatives wana struggle kusurvive… Ignorant… Muko wengi nitaanza kuwaanika so called “mbirrionares” hehehe

7 Likes

Yes thats the salo and one of my friend working there is planning an exit, since mahitaji ni mob

1 Like

Hiyo salo ni poa for a college graduate. However if you get comfortable,like your friend did,utajipata same position but your needs have tripled.

2 Likes

Boss, this is the only place we can be mbirioneyas. outside the websphere, sisi ni peasants ile mbaya.

7 Likes

By the way I have just talked with one called Rebecca based in Athi River.

hii sio pesa ya kupea graduate ata kama ako na diploma.

1 Like

Wanafaa kulipwa ngapi?

1 Like

hehe boss things are thick siku hizi ukikataa pesa kama hiyo kuna watu wako very ready kuchukua even less

6 Likes

atleast waazishiwe na 50 hivi.economy iko juu tu sana

1 Like

i agree

Speak for yourself.

1 Like

Waambie hiyo in allowance ya intern.

Concern ya hizo job ni damage kwa maskio sijui kama ni earpiece zao au nini

Kuna customer care nilikatia sometimes back alikua anfanya na ile number ya kutetea haki za watoto…nilikua nikitaka kumpigia nacall io number:D

Tru story.many quit coz of that

Niko na relative amefanya BCom (marketing) UoN na hawezi mind hui job. Zikitokea naweza toa kakitu apate hiyo job…any villagerr. With connections?