Finally am back to the City in the Sun
Ile picha ya watu wana-line bricks ilikuwa wapi?
Hio ni standard gauge railway. …a masterclass project. …near Voi.
Sank you many.
Hapo sawa, wapi mbisha za city in the sun
@Aurak naona ukiwa nominated kwa HOYA awards kama hakuna mbicha:D
Na hii mvua yote!? Tafadhali hebu weka some more pictures of the SGR kama unazo.