Sad news from Lamu

[MEDIA=twitter]1608346722916261888[/MEDIA]

[MEDIA=twitter]1607408818715262976[/MEDIA]

Kazi kwako Doktari Nabii na Profesa Kindiki.
Mlisema tusahau mambo ya terrorism.

Ni ngumu sana kusort hii mambo ya Boni forest. Army inalemewa na locals wanachukia serikali. An option is to open up Lamu fully to the outside world

Hiyo msitu igeuzwe mashamba. As long as it’s a forest it will be a hiding place

Hiyo msitu ipewe Wakikuyu na Wakisii wakate miti na walime huko. It will increase food security in the coastal region while also eradicating insecurity

Wakikuyu is the reason
Did you see the mpeketoni attack video?

Yes