@Okiya hebu kuja hapa. Nimepata gigz tatu za sacco wanting to have meetings sato afternoon, to declare returns na watu walipwe dividends alafu wajivinjari. Ile mzito names witheld is declaring a whooping 14% on deposits. Wueh. Kama unajua mtu ako na deposits sacco ya maana mtafute these coming weeks. Na pale NSE insider trading inachoma raia.
Wueh. Impressed na hizi saccos. Hiyo ya 14% iko eldoret
Watu wanakopa sana, kama hawakopi inamaanisha Hakuna dividends. Uzuri ya Sacco ukiwa member unavet mwenye unasignia loan au mnaform group mnasave aggressively halafu mnasupportiana loans wise. Hii mimi huona inawork sana
For you earn that kind of interest you have to commit the principal for 3yrs… most ppl are not patient alafu kuna wale watadai it’s a scum but mimi i am on my second year and i intend to roll it over when the 3yrs expire.