SA nayo wizi ni noma banaye. Lakini huyu alipatana na ule mbaya. Fixing the back window is gonna cost him more than what he would have paid for fuel.
[ATTACH=full]431283[/ATTACH]
SA nayo wizi ni noma banaye. Lakini huyu alipatana na ule mbaya. Fixing the back window is gonna cost him more than what he would have paid for fuel.
[ATTACH=full]431283[/ATTACH]
Hiyo mawe ilikuwa imewekwa strategically for such eventuality.
Na huyo jamaa ni sharp shooter. Alikuwa very accurate.:D:D:D:D
@mikel alisema vw golf na bmw ni hotcake kwa wezi SA
Am sure hio motokaa haikuwa ya huyo mjamaa na ilikuwa lazima arudishe na mafuta