Ruto to Farmers: Finish your grains in your stores before imported grains arrive

[ATTACH=full]498607[/ATTACH]

Hehe. Kenyans will miss this man

[ATTACH=full]498611[/ATTACH]

Hiyo kitu amevaa kwa mkono nilitoanga wakati niliona uhuru nayo, sipendangi usalendo.

Watu ya North Rift, Rice grwing area and farmers at large, mtajua hustler ni Rais.

Jambas na grains alijulikana kwanzia kitambo enzi za swrikali ya Kibaki na Tinga. Ama mnafikiria cartoon yake akikula ama akibeba kwa mfuko maize cob ilitoka wapi? Sasa kama kuna mkulima wa nafaka alimpigia kura, of which ni wengi, mimi sina LA kusema.

Finish your own grains so you can buy the GMO ones we are importing… na unapata ghasia anafuata maagizo kama mjinga. :D;D

Masaa ni machache