Rumade Ni Kunoma

Kijana kairo amebaki na boxer peke yake. Anatembea uji hapo indaa. Afadhali jela kuliko indaa

https://x.com/therealantoh/status/1913914646962098459

2 Likes

Boychild alikua anageuza mali mzuri mzuri lakini sai ndiye anageuzwa huko industrial area

1 Like

Kijana aliponda mali peke yake. Why is the public beng asked for help albeit sarcastically? I mean ukipata shida usisumbue watu wenye hukuponda mali na wao.

6 Likes

… hii life msee akitaka poa avoid polisi, kra na wasee wa immigration.

6 Likes

Umsahau Ndizi-Yai

4 Likes

.. ako under mboliz

Ameibia watu wacha apewe adhabu.

2 Likes

Tamu sana. Alidhani ata ghula pesa ya watu without consequences. Meffi yeye akule ujeuri wake

1 Like

Huyu msee si alisema yeye ni billionaire kwani ameshindwa kulipa bail tena?
Seriously though anafaa akule tu ujeuri yake. Akiibiwa watu pesa zao hakuwa anaona akipitia shida kama hizo.

Jela ni ya wanaume

3 Likes

Daaamn Kairu anachukiwa sana

2 Likes

aliangusha sabun :green_emoji:

3 Likes

Kuna elder aliiingia mkia no wonder anatembea funny

1 Like

Why has he overstayed?

I thought there is a time limit

angeenda chini ya maji kama some coastal car seller, ni kiburi ndio alikua nayo mingi

3 Likes

Tulisema hapa mwanamke akishika ball yako alafu ukatae, lazima character development ya hali ya juu.

Cayenne ikam na 30k na si tafadhali.

1 Like

Ex- mabusu @kah_tony sim 2 virginity ulipoteza ukiwa remand ama after conviction and jailing?

1 Like

unaibia watu millions hakuna shida lakini ukiibiwa nguo ni shida?

4 Likes

Kurekebisha na haki

Uji wa mnyama, innit?