Back story. Foreigners from where
If it’s Chinese it’s good news
Am sure ni ogahs
Ikue ogas ama warriahs
Broken news. Unalete nyoos nusu nusu mbona? Which foreigners?
Kama ni ogaah hao mungich waitishe backup from lord wanaruona. Oga mzuri ni Bubu Hana kelele mingi.
Wasudi wali land first time in Kenya Ruiru in the 90’s
Naskia ni burundians
Surely Burundians wanasumbuana nini na locals, si wataanza kujichomea na vile watu wengi hawana noma na hao na hizo biz zao za njugu na kahawa.
Warriah ndio wanafaa kutandikwa wameanza kiburi pale Eastleigh
Kumbe it was Burundi and Oga nationals being chased? I personally like Burundi chaps, hawana beef na mtu, just making ends meet. You’ll never meet any ata kwa local pub. But Oga, hizo mbwakin have tried to assault me twice juu ya dem nimeenda na yeye club
Upuss…I know a local and 99% of clients ni Burundians. Hata barmaids ni wa Burundi. Fights hufanyika hapo kila Sunday juu there is always a large crowd outside after the mess. Mwenye hiyo club hukunywa SJ na Eureka ni mzee fulani.
Gava inatuma watu bado. Last time kulikua na 3000+ sent. Ruiru itakua kama Kibich
They are also not paying taxes and competing with the lower class.Plus most are in tiwn hawking on pavements wamecause proliferation of hawkers town.I read somewhere zakayo went to Burundi to get the burundians build affordabke housing at a lower cost.
Wapi niliskia ai they even accept 400 a day mjei, while a Kenyan in Nairobi and environs hawezi kubali less than 800 currently
Guys are also claiming that they have handlers who operate from the shadows and have connections. Maybe they are trafficked by connected kenyans who use them to their benefit as cheap labor.