Vipi wadau lodgo huku zinachezea ngapi nataka cheap(less than 600) for a list of sampling bishes pia juja…
Porkies
Wapi na ngapi
Umeamua kuibia wasichana simu you low life.
Do I get you
600 utakulwa Na kunguni Na uibiwe. Go to a better place
Less than 500 labda mitaa ya vibanda. Pipeline ziko facing Imara Daima 600-800
Chini ya hapo itaabidi utoke Metropolis for a concrete structure.
Wachana na umaraya kijana. Umaraya hauna faida yoyote.