Ruined my Sunday

Yesterday I travelled to a very hot Ng’arua.I don’t know what is wrong with the shop owners there coz hawawashi fridge.
So any water we bought could’t quench the thirst.
Luckily we found one who had the fridge on but only had coca cola products in it.Maji ya dasani hapana kwangu…so we each bought the 100 bob fanta and downed the first half there and then.
I have avoided the coca cola product for quite sometime and so the fanta was really refreshing…I took the last sip of the drink tukiingia Nyeri.1ltr of Fanta in my body.I took nothing else.
Nikalala …kuamkia leo naamshwa na kichwa ikiuma.It felt like there were guys fighting in it…
Kimakia ndio huyo hajui afanye nini…hakuna painkillers …kunywa maji…shiba na maji…no peee coming …kushindwa kulala na tumbo…kichwa haiwachi…Midau…sahii ndio nimewacha kuona dunia ikienda round round…
No to fanta noto coke products…h20 pekee…but it did refresh.me so well

Hii mwaka haikupeleki vizuuri ,sio girlfriends sio kunona sio mitumba ngotha sasa Jana ni Fanta.

Mimi sio mnono…weeee…lakini huu mwaka

sasa unataka tufanye nini,sisi hukunywa ile huwa tumebebea gari na hatusumbui

Mzee akizeeka, kila mti huteleza…Bebanga uji na kibuyu

Maji ama dogogogio…hiyo ilikuwa moto juu ya jua…niambie ninunue ile cooler box next time

It’s only in Kenya where shopkeepers have fridges in their shops but only use them as storage cabinets. This country went to the dogs so long ago!

Buy cooler ndogo ukuwe unabebea your refreshment kwa gari

Unafaa uokoke sasa hizi shida zikuondokee…Lakini kushinda hujala na kulala kama hujala…ni pesa ulikuwa umekosa?

Yaani unawacha ndasan unachukua fanta, hapo ulitesa mwili na dehydration.

Next time tumia hii.
You will get refreshed and high at the same time. [ATTACH=full]198867[/ATTACH]

Hayo maji has been questioned by watu wa quality assurance

And they still find their way into the retail stores

hujawahi enda some of these remote areas ukakuta ni brands hujawahi sikia pekee ziko na alternative ni ya dam yamekojolewa na ng’ombe, punda na fisi…uliza @pamba

Somehow

I will not say here what we used to do in Koibatek many years gone…

There’s close to 14 teaspoons of sugar in a 350ml soda and you took about three times that about. That’s ingesting about 40 teaspoons + synthetic colors and other chemicals in an already dehydrated body.

Bro, kwani hujipendi?

Kiuu bwana…i will never do it again though…kwani you have all of sudden changed to male…ama ni nini kina kura kire kingine

hapa umekuwa slow my friend…
au namna gani @pseudonym ?

Too much fanta is bad for his reasoning capacity too…