Ni riddim mix gani noma sana. I enjoy listening to them when high kejani. Any ideas?
Ungeuliza about classical music ama House ungesaidika. Birrionairre talkers have a refined taste of music. Riddims hutasaidika. :)
Country bus riddim.
Ka si uwongo za pesa nane na dharau ningekupea medley ka fifty plus one za ukweli. Na mchanganyiko zingina maalum.
Kaa na zako banana seller. Meffi
Ubirrionea niliachia rollout et al. Mimi sio birrionea so nachezea area yangu
Reggae fest riddim
Breakaway
Humbug
Oceanfire
Gaza world
Lotus flower bomb
Contagious
major & minor
Big stage
cold heart
crown love
I approve
[ATTACH=full]110088[/ATTACH] [ATTACH]110088[/ATTACH] [ATTACH]110088[/ATTACH]