Hello members, naomba usaidizi, nikona radio screen ya xjapan, will it support reverse camera ama itabidi nibuy radio screen ingine,
Your opinions please
It will support,tafuta technician mzuri aweke,when you start reversing inafanya works
To a kichwa nje ya dirisha ama utumie side mirrors kama wanaume wengine.
Real men use side mirrors
Unanunua camera na bado radio ni exjapan? Buda nunua jiko kwanza ndio ununue makaa. Mwanaume ni side mirror na instinct
Reverse cameras are in a list of things I find girlish/gay in a car. Zingine ni air fresheners, neck pillows, dolls, snacks.etc. mwanaume shikilia passenger seat uangalie nyuma ukireverse. Ama toa kichwa inje kama wanaume wengine.
Mojinga!!
reverse camera kitu gani…toa kichwa reverse gari
pindua shingo nyang’au!! Sijakutusi… Those were the words of my driving instructor.
Vyenye umeambiwa na umati hapo juu
Kuangalia nyuma ama kutumia rear view mirror ndio kitu siwezi fanya, I only use side mirrors to reverse, 4 years of reversing a 20 foot truck like 40 times daily inakupatia hio skill.
So wewe na @Ka-Buda mko kibarua same …
Nilikuwa back then nikiwa Saudia.
:D:D:D:D haki hii kijiji ina maneno, fanya hesabu zako then tumia instinct kureverse saitan!!