Restaurant run in

Wakuu what would you do if you went to a restaurant and ordered food and you din’t become too specific and they served you something other than what you wanted considering that you are allergic and then the waitress busts your balls saying that since you tasted the food you should pay for it.if it were you would you bring drama to the place or you would pay and just go

Unatoa fees ama hii ni kuulizia tu pro Bono?

“ordered food and you din’t become too specific and they served you something other than what you wanted”

And still you went ahead and tasted the food…:D:D

Anyway…

[ATTACH=full]501318[/ATTACH]

:D:D:D:D:D:DSasa umekubali hio story ya papers ni ukweli?

:D:D jamaa anaingia hoteli anasema leta chakula analetewa anaonja alafu anaanza kuzusha…

Wewe na msee hununua mkate ya 120 anaenda nayo home anakula nusu yake then anarudisha kwa duka eti mkate ni expired hakuna tofauti.

My proudest ni ile ilinipitisha MI6 through the British Granadiers. Ingine ni kwa hesabu specifically algebraic topology, accounting and finance. Mechanics kidogo.

Course gani ama ni financial engineering

Do you know me?
[ATTACH=full]501329[/ATTACH]

Pay and Go

Why did you taste the food??

You should pay…kumbaff. Next time don’t taste the food if its not what you ordered.

Your reasoning is worse than that of a chicken. Unaitisha chakula, hukuwa specific unaletewa ushaamza kuonja alafu unaanza kuzusha kama mtu amekosa akili. Lipia chakula mshenzi.

swali tu peasants huwa na allergies za chakula hu survive aje third world country kama kenya ? huwezi ingia tu any random kibanda in kayole, kibera, dandora ukule broth/soup coz hujui maybe iko na njugu/nyama etc from marikiti uanze kufura.

NAVY SEAL kama @uwesmake anaweza kula hata nyama ya panya/pangolin deep in Tora Bora mountains or El adde na nitombe taliban/ISIL/ Alshabab wives with zero stomach issues

Wewe tunajua mi chokoraa

Uwes ukona stomach acid kama ya hizi bong’au

[ATTACH=full]501377[/ATTACH]

You aren’t human, you must have the metabolism of a python:D

Malisa eye kabisa

:D:D:D:D:D

Allergy mnatoa wapi ama sijui gas …you eat what others are eating.