Residents steal flour bales after truck overturns at makindu

Bale moja huwa thao sita.. elder hapo ukipata kama kumi.. unaomoka.

"Ni God anakumbuka watu wake… " utawaskia wakisema.

Zikiachwa hapo zitaharibiwa na mvua. Lorry ikianguka residents wa io area wanafaa waruhusiwe wachukue, bora wasiende kuuza, watumie wao wenyewe.

Mbona tena restrictions elder.. na zishakuwa zao according to sheria zako za hivi sasa

Wacha upuss. Bale moja huwa Na a dozen packets. Wapi huko UNGA inauzwa 500 per 2kg packet?

ION, I wish they were stealing science books.

Thought ni bale ya nguo. Elder!!!

Miwani buana