Redmi 10

Naona imetoa a new version of miui na android 12…is it a good idea to update?[ATTACH=full]467906[/ATTACH][ATTACH=full]467907[/ATTACH]

Am on MIU 13.0.3. No problems as far as i can see…

Mimi hungoja nione watumiaji wengine watumie miezi kadhaa,‘wadudu’ na chawa zitolewe alaf niingie, hapana kimbilia kwanza vile naskia kuna simu zimekufa na reboots miui13.

wacha peasants kina @Nyamgondho watumie walie shida iko nazo kwanza.

Huyu alisema afadhali atumie simu muhogo ya Sagem kuliko aguse Naomi.

So you encouraging ni update?

How come you have a 13.0.8 while I just updated yesterday to 13.0.3?!

Tangu ni hamie realme Xiaomi ni chieth tupu. Bloatware na advert kibao. Halafu hio upuzi ya kubeba simu mzito kama nyama quota.

We unajisumbua na updates , mimii nataka kuroot na kudebloat[ATTACH=full]467932[/ATTACH]

Note 11 iko sawa

[ATTACH=full]468129[/ATTACH]

Labda uweke custom rom ,kama ni kudebloat,form Kuna vile unaweza tumia debloater using ADB

That’s nice…I did update na so far sijaona ubaya yeyote