Real Recognizes Real

[ATTACH=full]73112[/ATTACH]

Watu wa prediction walete GG na O2.5 haraka haraka

4 Likes

Motherfucker!! Hiyo derailment yako utatoka nayo mbio hapa, alafu nlisemanga GAMBLERS NI MEFFI!!

the strongest…haka kateam kamenipatia pesa sana

Huwa wanafix matches

1 Like

hehe pia colo colo fc…izo team ni mofire

1 Like

Kwa kufix matches ama kuplay, Chapecoense also fixed matches

Colo colo at home jana iliniundia hela; so its fixed?

1 Like

Wekeni bet hapa, time is running out

2 Likes

Yani watu wame derail hii thread mpaka mwenye thread ame give in… SMBDH on @Female Perspective…

3 Likes

Weeknd alonyoa Mohawk lini? BTW bet za @MANKI huwork? 3

Kabla alirelease his latest album, na sio Mohawk, ni Afro

Jana nilibet game ya Argentina, kumbe ilikuwa fixed, bao mbili zilifungwa in last two minutes by both teams

Manki alikua ameweka?

Zii, za manki ni predictions zake

1 Like

Wueeh. Watu wamekosa heshima kwa hii thread kama ile fisi ilikula makagari ya wildebeest.
:D:D