https://www.youtube.com/watch?v=AAQJonvO8h4
Dubai is.
hii tuliona …
…when Marco Polo was a merchant in Venice…
…the day before an elephant decided to kill George Hurst
Hii tuliona Mt Kenya ikiwa bado anthill
Bingwa mi niliicheki hii stuff venye jaruo jeuri ilikua inangolewa meno sita na kusema imetahiri
Impressive.
Hii tuliona wakati wa vita za Montague na Capulets in Romeo & Juliet.
Hii tulione before mtema kuni aone alichokiona.
hii tuliona na elijah masinde pale main church service
Hii niliona kabla nijue kunyonya.
Hii tuliona kabla ule jamaa wa Nakuru akamue ndovu
Niliona wakati lake Victoria ilikilua ikiitwa Port Florence.
Hii tuliona wakati crazydude alikuwa anangoa replies za watu kwa listings zake pale Klost
…before starks went mad pale klost
hii tuliona kabla Vasco da Gama afike Kilifi