Wakazi wote wa Mwanza wameombwa kuwepo Airport Jumapili saa moja asubuhi kumpokea mgeni Dreamliner. Ukipata ujumbe huu umtaarifu mwenzako.
Aiseeee.jiwe nahisi anaweza kuwepo.mwaka wa hasara huuu
Pumbaaaaaaaaaaaavu
Kweli watu wanachukuliwa kuwa ni majuha. Sijawahi kusikia mambo ya ajabu namna hii!
Duh! Iko wapi ile falsaha ya ‘Hapa Kazi tu’ kama watu hawana shughuli za kufanya isipokuwa kila siku ni uzinduzi na kupokea, mara Bombardier, sijui Drealiner, mara… ah, ngoja nimezee…
“Dream-liner” lazma itafurahi sana
Waache wakajazane…
Cc: @Mahondaw
Ushamba tu na ulimbukeni
Awamu hii hasara tupu