Ray C : tbt

Alikua juu.

https://www.youtube.com/watch?v=01zj7ulRK1s

https://www.youtube.com/watch?v=Ln9YbfQZWwo

Ni ukweli alipata ile homa kubwa?

hottest in East Africa then

Huyu alikuwa mwenyeji pale Skylux.

Ray C alikuwa amenimalisa nikiwa high school sahi naona hii video naona hajafikia standards zangu :D:D

Ilikuwa tu rumours

Droga finished her. Narco trafficantes walituharibia East Africa’s Beyonce.

Hizo mecho zilikua zinaua sana before matembe na unga took over

Kadem akalikuwa kameweza, macho ya kulegea na sauti ya kuamsha rungu

Labda @ChifuMbitika atuambie. Chiff funga leso tuna ngojaa hekaya.