Ranch

i own plots in some of the major towns in kenya ,now i am thinking of going international ,i want to buy a ranch in new mexico,how much can it cost?ama nyinyi mnajua maneno ya tuploti twa huku kenya twenye tuko porini?

first of all, unajua mexico iko wapi kwa world map?

sisi tunajua za porini tu nunua utufunze hii mambo

There is a place called Mexico in Mt Elgon… Is it that place u r inquiring about…?

NEW MEXICO ENYE NAJUA NI DUKA IKO KIMILILI

2 Likes

Kuna mahali nilipita karibu na Kitui panaitwa Meksiko. Ni huko ama?

Niko na ka kuota huko… Kuja nikuuzie na bei ya villager

nataka kitu kama hii[ATTACH=full]6715[/ATTACH]

wakanyama=baboon=gringo=wakaguku= wamaguok=

1 Like

NANI AMEKULIZA?

uzia@Ice_Cube,ndiyo wanapenda hizo tusehemu hatuwezi toshea hata choo

1 Like

[ATTACH=full]6717[/ATTACH]

2 Likes

@Wakanyama niwachie shamba yako moja ukienda New Mexico nikulindie

nitakuwachia ya ndeiya ,sawa?

hapo sawa

na arudi after 12 and a half years?

hataweza, ma momo wa New Mexico watamkamua hadi asahau kenya iko wapi

sitarudi kenya

Effects za kushikisha mogoka bila njugu.

2 Likes

Uliza Lupita.