Rain in the CBD

Its a boring afte biz imeenda chini. Hii mvua itafanya tulipe fare kaa yote jioni. I hear tiny ‘stones’ hitting the office windows. :eek:Kwani hii mvua ni gani?

Confirmed. Niko hapo KRA. hailstones

1 Like

confirmed. nimenyeshewa

confirmed.ndio kuingia kwa x-trail nisukumane na jam ya mombasa road

Foncirmed(tunaspell hivi?) iko mzito atound KU lakini sijaskia mawe. I hoped hio mawe isije iniharibie descartes mobile. Ama haiwezi haribu?

1 Like

Confirmed. Dry spell imeisha

1 Like

naona lazima mkono iteswe usiku mzima leo:D:D

2 Likes

Pia hapa Chebiemit 400+ km from Nairobi imenyesha ya mawe

1 Like

Confirmed, warm and dry indoors.
What a lucky day, I postponed an appointment on Ngong road at the last minute around 3pm.
Saa hii ningekuwa nalilia kwa choo kama ningeenda.

Confirmed, jam imeanza

nani ako msa road anipee update.ama nipitie jogoo road.but pale doni is hell time ka hii

KU GANI

Confirmed! Cats and dogs upande wa kiambu

Rongai kuna drizzle kidogo

Confirmed. First time to rain in a loong time. Vumbi itapungua

confirmed Gigiri imekataa kuisha

Uliza dere wako wa matatu ama dondaa wake

Just past main campus

Mnasumbua Sasa,
Simtoke inje mkacheze basi.
You all sound so excited

2 Likes

its the rain that divides cold and hot season… this year imechelewa kiasi…m 120 Kms away from cbd ndio nimeona wind ikisukuma tu clouds toward nrb