Rabbit King Kaka has Finally released His diss track 'Kionjo'. Is this really dope

Rabbit has really been quiet in the #WhoIsKing competition mpaka tukadhani yeye si msanii but now he has spoken up with his new diss track, ‘Kionjo’. What do you think? Listen to it here–> http://bit.ly/1QISoNf

Kama kungekuwa na mtu ako na guts kama za Nay wa Mitego(Bongo mfalme wa bifu) huu ufala ndio ungekuwa interesting.

These people are just looking to sell music using controversy.

1 Like

Rabbit hawezani beef nimsoftie.

what are you guys talking about…

acha xaxa xema generation wapige gumzo!! Nowadays reading pulse nikama kusoma gazeti ya Uganda, I dont know anyone in those pages anymore.

2 Likes

Sijui hata pulse nilisoma mwisho lini. Must have been when Kibaki was still president.

2 Likes

Pulse na Zuqka nilisahau kitambo, around 2009.

Zuqka ni nini?

Pulse bado iko? Waah hizo

Upus thread.