This tweet thread makes one think twice on getting married.
[MEDIA=twitter]1623549834874720257[/MEDIA]
This tweet thread makes one think twice on getting married.
[MEDIA=twitter]1623549834874720257[/MEDIA]
Marriage is a big scam!
Someone once said that if the punishment for Divorce was death, men would still get married.
kama hujaoa baki vile vile.
Kwani nyinyi watu mlioa wanawake aina gani?!
Marriage only benefit women and not men. I mean kuna mama wa kufua, kuna kibandaski na River road kuna mapoko. So what do women bring marriage that these three can’t do without stressing you? Wanawake ni stress. Unatoa pesa Kila siku na bado ukiingia, ni Kele na kukupimia Sex despite you giving her money
Kwanini unasema hivo. Did you marry?
:D:D:D:D hizi ni shida huletwa ukioa matako na kufuga, tofautisha matako na bibi.
Mimi siwezi taka kurudi bachelor, siwezi kula mapoko, siwezi kula kwa kibanda. Bibi amenizalia ma boyz, nimempatia kazi simple sana…to raise my sons hio ingine nitafanya.
Planteshen=happiness
The main reason elders hapa wako against marriage huwa tu ni finances. Sidhani hapa majority are bachelors by choice…ni hela tu haziwaruhusu. Hata AMGs wakishika millions wataoa tu, shida ni wataoa matako
:D:D:Dlakini pia tusiwadanganyane kuingia planteshen na mentality ya kila mtoto hukuja na sahani yake ita wamaliza
Planteshen huwa ni kazi, it is like running a business. Some elders hudhani ni kunyanduana tu
Yes chairman wa plantesheni. Hatutoki
@Karoga tumekuonea 18. Ipo siku
how does this happen? Bibi inafaa akuwe anatamani umpee mbegu kila saa…
Happens juu ya pesa. Kama hauna wife analala hadi na wig smelly.
Nildhani wewe ni senior bachelor
Anajua the guy will just accept. No consequences.
Wapi, niliingia plantesheni roho safi. I come from a large family so plantesheni ni genetic. Natafuta tu pesa niongese bibi ya pili, preferably @poyoloko dota.
Kawads are the ones who run away.
Did your father walk out on your mother?
And yet they had over 6 kids from each wife.
The current generation of fathers are very selfish.