HII ndio nakunywa. pweza wangu ameniambia anakuja . NIKO hapa shujaa mall KAYOLE.
Sijaenda sankara Leo.
[ATTACH=full]19579[/ATTACH]
HII ndio nakunywa. pweza wangu ameniambia anakuja . NIKO hapa shujaa mall KAYOLE.
Sijaenda sankara Leo.
[ATTACH=full]19579[/ATTACH]
Niko can ya pili ya Carlsberg. Nangoja hii game ya Brentford na QPR.Meanwhile nawatch Al Jazeera hapa. Nasikia Obama anaingia Syria sasa
Mbona naona mimi ndiye anayetusiwa hapa? Leo Ango waandika kwa Kiswahili tena kwa herufi ndogo? Salaale!
Leo nakula pweza dryfry hakuna cha ugali.
[ATTACH=full]19580[/ATTACH]
Sitaki maswara tena leo
[ATTACH=full]19581[/ATTACH]
they say a pic is worth a thousand words but i dare say it is worthless without the twenty words that make the caption…
kumeendaje?
mashegera!
Mauki kama dicarlo can’t string a sentence wacha tutosheke na picha priss
End month tings
Vunja mifupa Angko’
Pweza hauna mfupa anko
Leo NAONGEA kiswahili chenye mkamba MKUFUU amenifunza.
HII SIO ILE PICHA ULIWEKA LAST WEEK? ?? ? ? ???
watu wa support keroche breweries… mambo ya FAXE apana tambua
CRIASLY nikuwe naprove kila sato
HIYO NI KAZI YA HOMOWEBDEV
ANKO KABLA UMLE PWEZA DRY DRY, HAKIKISHA UMEMKUNJA KAMA CHAPATI ZA MALENGE AINA YA BATANATII.