Pssst! Kuchako uone, msito amelant

[ATTACH=full]200950[/ATTACH][ATTACH=full]200951[/ATTACH]

Hii ni muoto.
Bandika hapo engine na gearbox ya SR20 na uweke diff ya disc brakes.
Utakuwa na gari Saitan saidi.

Si tupige collabo tuinunue alafu tubandike hio maneno umesema hapo juu?

Inaweza kuwa muoto saidi.

Mzee kipara Hii ni dastun(pun intended) ama marina Morris?

P.s usinitukane Ng’ombe hii

This one is bad

Labogin.

Umbwa.

Labogin ni ya Italy, vladivazkaz ama Sochi?

Labogini

Ni Labogin.

Tumbaff.

Shait! Pole boss

Nishapoa.

Tumbaff.