Who can recommend a good specialist for a hybrid system (prius) ama hata facebook group ya watu wa toyota prius?
ama hata facebook group ya watu wa toyota prius?
there is your solution
makanika murefii @introvert najua nduthi simebebwo na mafuriko, nukisha wd40 na hii
Peleka Toyota Kenya
Hiyo ghasia ipelekewe fundi wa redio na Walkman.
Hio gari naskia ikiharibu battery heri kununua gari ingine tu
Inaeza kuwa same concept na Honda insight hybrid?
You mean @Electronics4u
Hehehe.
Gari badala ya tool box fundi anakam na soldering iron.
Shaaaait
[MEDIA=giphy]wWue0rCDOphOE[/MEDIA]
Kuna wengine pale thika… I hear they are good…
Check out raydane automotive kwa Facebook , they specialise in hybrids.
battery yake inachezea 300k, lkn niliskia hukunywa 1k kwa wiki ikifanya taxi
thanks a lot for that crucial lead.