PAGAN
1
hao wanaume walikuwa mashoga au macho yangu yanahitaji msaada wa VAR?
Hapo naona sifa ya u princess tu ila ninachokiona kinasikitisha.
Nadhan kilichowavutia hapo ni pesa au waliuliwa baada ya kumkataa wakasingiziwa wamejiua kisa yake
Nimecheka sana baada ya kuiona hii picha
Duh! :oops::oops::oops:… Kama ni kweli basi watakuwa walishikiwa akili!..
Kipipa kama hicho wala nisinge thubutu, bora hata kingekuwa modal flani hivi vimodal vya kiarabu vina noga sana
hahahaaa siez nkawajudge sababu sijajua walimpendea nin, enzi hzo mapenz yakiitwa mapenz kwel.
Kylie
9
Huyu ni me au ke, Wanaume mna taabu sana
smart huyo ni ke au me?? duhhhhhhhhhh!!
hahahahahaha.hakuna mrembo hapo,nakiona kifutu tu.hahahahahaha
Mkuu umekosea kuweka picha au ni nini?