President extends curfew

Curfew of 10pm to 4am extended to march 12, 2021

Schools will be closed again , take this to ABSa bank

[ATTACH=full]342494[/ATTACH]

Wenye ma bar and clubs watajua cha mtema kuni hii mwaka. Losses galore

Yaani watoto warudi shule lakini sisi wazazi hatuezi tafuta pesa juu ya curfew. Uhuru anatubeba ujinga bado.

It’s a good measure to try and mitigate the 3rd Covid wave. Even the political gazarings have been banned. By March vaccination will be underway for the high risk groups.

Na kuna washenzi bado naona FB wakiuliza “how is the bar/wines and spirits business? Any advice?” Gym ndio inaniuma, karibu mwaka sasa nitaanza kulea kitambi…ama nyinyi birrionaires mko na home gyms?

Uhuru ni mitoto ya humbwa

Curfew makes no sense. Kwani Covid inasambaa usiku pekee?

Uli abort akili wapi??

Sisi peasants hatuna haja ya gyms. Hii mafuta huchomwa na mashida zetu that’s why Sisi fukara hatuna vitambi.

wachana na huyo punda…hii gava iko out of touch with reality…They are banning public gathering yet wanafungua shule

gyms are operating boss.

Ni gani hiyo wewe huenda na yetu huwa tunaambiwa tu “we’re reopening soon”.

Nunua ata dumbbells za 2k mjamaa. Apana compete na @Wanaruona kulea manboobs

Extending curfew na shule zina funguliwa ni ujinga mtupu.

Stop expecting more from a brain dead drunkard. Uhunye should be impeached based on medically ground. The fool is having mentally incapacitated he cannot lead the country.

meffi zina operate si uhame labda jamaa alifirisika:D

tuwekee io press release yote jamaa wa nyarwanda

We have a very lazy presidency