Kumbe @Tommy Lee Sparta ushaingia multibets? Hehehe…
But ukweli Ni, if you go with less than 5 Si hard to win. Then unaekelea between 200-500. Unakula msuri Na unanunua ka whisky ka kucelebrate.
kuna siri ingine nimejuwa kaka
unecheki match ziko na odds za 1.1 and below
chukuwa muti bets on like 10 matches…usichukuwe higher than 1.1
izo oddz zitakuja like 9.5
then wekelea 500ksh unapataa 4750
kama wewe ni gambler kama tommy unaweka thao na unakazaa rasa game ata moja wasiende draw…
ama pia use the same style of betting lakini chapa double chance …the team with the smallest odd unaweka pamoja na draw…now for this to work you need 20 matches ndio upate atleast odds za 10. ama 12.5
so betting unafanya mapema …time poa ni saa sita za usiku…unachambua vizuri na kalamu na karatasi …after betting wekelea thao roho juu
and wait hadi jioni salo any team with odd ya 1.2 avoid kama pleague …tumia 1.1 and below…kwanza ukipata 0.9 ama 1 chukuwa mbio mbio iyo lazima tubuy land na hii chapa ya betting