prediction kings game za weeknd

vipi wazito wa gambling…after lose ya game ya beryan na Arsenal nilichukuwa break kiasi…munajuwa tommy huwekelea chapa kubwa kwa game…so losing to games in a nite ilinivunja syke kiasi…lakini jana recovered 14200ksh na game ya barca…halafu leo nime kwachua about 4400ksh profits game za leo :slight_smile:

so hii weeknd sitaki msee aloose chapa
iko ivi

Man City vs Aston Villa bet Man City (weka chapa mob apa)
Tottenham vs Arsenal bet double chance Tottenham ama Arsenal hii game ni moto

Southampton v Sunderland bet Southampton

PSG vs Montpellier bet PSG

Swansea vs Norwich apa nona Draw mtu wangu

Watford vsLeicester bet Leicester

izi ndio prediction u can add yours but kesho nakula 10k bila hustle …all the best wazito :smiley:

kesho inakaa nitakuwa PSG na Real, then naweza weka 1k kwa Bayern wako away na Dortmund

1 Like

nimeumizwa hii Friday na team za Denmark… bado nitawekelea

1 Like

Epl ni moto ya kuotea mbali.zangu ni single bets kwa foreign leagues.so far hii wiki nimekula 7,345 net from an initial investment ya 1,200

Leicester na Watford ni draw
Southampton over 2.5

@shocks pesa unaweka kwa team gani hii ya bayern na dortmund

Bayern, lakini pesa kidogo

[ATTACH=full]32962[/ATTACH]

arsenal at a great disadvantage, cheki injury list n awful form coupled with low sense of belief, I smell a Tottenham win.

[ATTACH=full]32965[/ATTACH]
[ATTACH]32966[/ATTACH] [ATTACH=full]32966[/ATTACH]

tumeanza na game za Australia… nagonjea GG ya Sydney

1 Like

Injury time

Hii Arsenal naona GG ndio the safest. Derby hukuwa noma.

pia mimi nimeweka punch …niko na kafeeling kaa draw :slight_smile:

Hii game ya Arsenal …leo wata suprice wasee double chance ndio uta survive hii bet

Hiyo ya Bayern sijajua form. Arsenal nishawekelea GG…

Premier GG to the toe

Tottenham GG na burnley zimejipa, sasa nangoja Real na Man City. TLS najua hii wkend umekamua kitu mzito sana

1 Like

bado psg wako draw na ni 85min na wako home… aaarrgghhh

psg wametuangusha sana. Multibet imeanguka hivo…

nimeangushwa na game ya bayern how they both didnt score was a real shocker.

:D:D:D:D:D:D:D