Potus Na Pishori..Nkt

So Im bored over the weekend; POTUS is around and everyone seems to have been caught up by the POTUS fever.
I decide what the heck, wacha nikakunywe kadhaa 1824 kutafuta usingizi. (Wife hayuko BTW, tuliachana a month ago). I go and enjoy myself…Asubuhi like 5 Madimoni zikanidanganya nipitie Rafikiz nikunywe ya mwisho. I check in and meet Atieno, a bevy from the lakeside.
We engage in good conversation and finally my fisi mode activates and I swear to hit that Luo chic.Kwahivyo nadanganyilia yeye and kidogo kidogo we are home like at 6.30am.
I only rember eating eggs.
Next thing I wake up its 10.00pm Sunday, Im naked in Bed, the house is smelling poop and 3 laptops, mobile phone and money missing.
Mjinga aliniwekea pishori kw amayai nikakufa…and she went ahead to shit and smear the walls. Took 3 hours of serious washing to wipe down the shit.
Hiyo ni madharau ya aina gani? Kwani nilimfanyia nini ndio anifanyie hivo.
Im having aches everywhere, my neck back, face…aiii
But the poop oh my God. Never seen that. Nini mbaya na hawa watu wa lakeside NKKKKTTTTTTTTtttttt!!!

3 Likes

So ulikufa alafu

He he he! Pole bro

:D:D:D:D:D:D:D:D:D
one day you will find footage of you shitting all over your house and talking to an imaginary person…
then giving away all your possessions to the watchie…

15 Likes

haiya kwani ulukubali akupikie? makosa yako hapo

Hayo yote Ni ya dunia

Na si leo tao mapickpocket watanoga? Kwanza vile weekend wamelala njaa! Pia mchele itatembea kwa tubaesa.

1 Like

Hehehe… Mambo ya mapoko wacha kabisa. Will give my story nkipata psyche.

3 Likes

Pole sana donkey, shit happens in this life …
On a lighter note though, maybe she had mistakenly swallowed a piece from the eggs and had to fight hard to shit it all out, hence the body commotion (read seizures)

2 Likes

Wait for your wife to come back with no notice…

[SIZE=6]HEKAYA[/SIZE]
Ulitoka aje Zimma to 1824 and back at 630 am??? Lockdown ya POTUS ilikua full strength

1 Like

Enyewe. Mbinguni hakuna kukunia

2 Likes

Ha ha ha Gosh…ulibeba toast mayai kweli

:D:D:D:D:D

huyo ni mchawi, pole just hope hutamzalisha mchawi mwingine

1 Like

yup shit happens even on your wall

1 Like

Hiyo stori ni mrefu sana…wewe jua nilkuwa kwa sitation ya pishori na si funny!!

yup shit happens even on walls. ukipiwa mayai munakula pamoja kiloveydovey na si ati akule corner yake ya mayai na wewe yako

This hekaya doesn’t add up.

  1. Kwa nini wife alitoroka
  2. Kwa nini ulikunia kwa wall
  3. Kwa nini ulikula mayai
  4. Why didn’t you pay the agree amount, hakuna cha Bure!
1 Like

Nilikuwa na expect Purity unichekelee… Yani you cant have a heart?