Post Nut Clarity

Friday nilienda club in town and because I was feeling lucky na kuna mzoga niliona ikiwa sawa, I decided shuma ilale ndani kwa mancave. My plan was that since she is obviously a whore, nimpeleke mancave, tumalizane morning nimpee pesa ibaki story. True to it, nikafikisha threshold, sasa jana morning nikampea pesa akakataa. Even worse akaanza kuosha bedsheet, nguo zangu akaosha, etc etc. She even made breakfast na kitchen ya hiyo mancave hata siingiangi sana. She is young and naive 23 yrs. Alishinda kwangu jana, leo ameniamsha na breakfast in bed and now am wondering how to tell her story imeisha:mad:…I had planned for a one night shag na alikataa pesa!!I really need to go back to my main house na siwezi wacha mtu kwa mancave. Did I mention ameanza kunyesha leo morning:eek:

9 Likes

Tell her mwenye nyumba anarudi saa nne.
Tell her your mum is waiting for you to take her to women’s guild meeting at 11am.

11 Likes

I dont think she is that stupid though. Venye aliona nguo pile na ni chafu, na vyombo kitchen zinakaa zilitumika last year alipata perception ya bachelor. That will not cut it. I am trying to figure out what her angle is, juu ananyesha nisha-rule out kuniwekelea ball sio yangu. Plus nimekuwa nikidinya na CD siwes risk.

3 Likes

Hehehe…ata mimi juzi nimeleta kunguru asubuhi namshow atoke anakataa ati nimuache man cave lunch nihepe nikujie threshold nikakataa

6 Likes

Mimi gameplan ilikuwa nidinye Friday usiku, Sato asubuhi atembeze, niite mathe wa kuosha aoshe nguo, jioni nirudi main house niache kama nimelock mancave ikiwa na nguo safi bila harufu ya threshold. Sasa mzoga iliniambia nisjaribu kuipea pesa na ako comfortable kama ako kwake. Akiosha na kupika anachukua remote kuwatch movies ni kama ako Bahamas. I understand she is young(23 yrs) and probably stupid juu siexpect dame over 28 yrs a-act hivyo. Jana jioni nilikuwa naona kama ako na ball na maybe anaitafutia baba, but venye ameanza kunyesha leo nimerule-out hiyo possibility.

6 Likes

hahahaa kaa tu na yeye huyo amekuwa bibi yako

9 Likes

Naive whore? Chunga sana bro. Never underestimate a woman especially kama she’s a kunguru. They give you an impression that they are naive kumbe they are planning something nasty.

I’m surprised she made breko and you took it. A certain talker here narrated how a kunguru had tried to trick him but akamuonea 18. The guy got ready for work in the morning and the kunguru made him some coffee. Jamaa took it and woke up in the evening to find an empty house.

17 Likes

Those are my fears. Ndio maana plan yangu ilikuwa nidinye morning nimpee pesa aende, lakini nugu ikakataa pesa na ikaanza kujipea shughuli za usafi kwa nyumba. Nugu ina school ID ya UoN so nadhani ni ya huko though I dont care.

3 Likes

First things first. Nipee strategy poa ya kufukuza hii mzoga from mancave design haitajileta tena.

Leta kunguru iingine beshte yako uiambie ikusaidie kufukuza hiyo mtu. It worked for me during my days in mwiki -kasarani…

13 Likes

Balls man. Unamshow straight to her face that you WANT her to leave. Kuna mwenye nilimshow ivo some time back akaniambia she’s never been treated so badly in her life, but who gives a fook?

4 Likes

@Voltron = @Mosa

2 Likes

[ol]
[li]Tell her to go for her clothes ndio muishi nayeye. Akitoka tu funga mancave na uishie kwako.[/li][li]Steal her phone. She will not want to live with a thief.[/li][li]Buy some tabs. Ensure ameona ukizimeza. Tell her ni ARV.[/li][li]Tell her atoke kidogo coz you have a client coming. Àkiuliza sana just tell her wewe huwanga mganga, ulimroga and that’s why she can’t leave you.[/li][/ol]

40 Likes

Tafuta mzoga ingine more mature uje nayo kwa mancave. Iambie ilete vita hapo na iclaim kuwa yeye ndio bibi. Na iwe accompanied by a tough looking jamaa.

2 Likes

Perfect

Tsk umalaya huletea watu Shida mingi
Just be honest, tell her wewe ulitaka tu happy ending, and you thought she was a ride for hire, apologise for that and tell her you don’t want her around, she will feel bad but at least you will stop enjoying her free labour and pretending not to like it

16 Likes

Hiyo number 3 will not work. Uta show dame dawa aanze kulia akiku hug na akuambie ni sawa tu. Haiya

9 Likes

School ID kutengeneza ni mia mbili boss. Hii pia huwa ya kuingia free or subsidized price kwa events.
Utaibiwo! Huskii?!

3 Likes

Free labor? Mama nguo does all that at the price of 2 beers which is next to nothing anyway, but at least she doesnt stick around after that. This is “unsolicited free labor”. Unsolicited because all I wanted was a quick fix for one Friday night. I dont want to be cruel to her because that is just not me.

:D:D:D:D:D:D:D

1 Like