Possibly a drink and Drive Situation

Mechanics shida yao huwanga nini lakini. Hii watu uendesha gari ni kaa wako kwa grand prix banae. Design nilikua naendesha ile time nili GTA gari nikiwa high on coke as a matha’fucker … nikalambishwa mwaka na miezi tatu ndani. Kaa si vile nilikuwa on probation … pengine ningetembea ama miezi 3-6 ivi. Nikaona heri nijaribu hepa … kumbe ndo niliharibu.