Pombe ni mbaya....hiyo pesa yote mnachanga Omosh hataguza ata bob

It has been decded that Abel Mutua and [SIZE=6]Omosh’s wife[/SIZE] will be signatories to his bank accounts. This will be done with the aim of ensuring that he does not end wasting all his money on alcohol. …So far zimefika ngapi?

Bibi alikulipa Ile doo

iyo nilioga tu ivo… ndio maana nahurumia omosh sai

around 3 metres

Omosh has more problems than money. Ukianza kunywa pombe kama uji u are not long for this world.

labda ata ni more…

Na yule mwalimu Mr.Ngatia he seemed always high or was a good actor

Yeah, him and that mother in law actor called Charlie seem like real drunkards in life.

But also Njoro looked like a miserable person but he is doing very well in life.

Wanakunywanga na ule mzee mwamba wa mother in law pale baha

Njoro ni kama Uhunye. Looks like an ordinary sufferer, but kumbe ni rich kid mbaya

kenyans are shallow. wanachangia mlevi but hawawezi changa waweke gabions kwa mto. hawawezi changa wajiendeleze kiamasha. mtatombwa na mwizi wa sugoi miaka mia moja juu ya io ujinga yenu.

Uyo hubebwa kutoka kwa mitaro happy zimmerman.mkimaliza ya omosh mjipange ya ngatia

“Money does not change you, It reveals who you really are”
[SIZE=1]E4U-2021[/SIZE]

Wacha Omosh anukishe kitunguu na ma fala. Its all good. Lakini bila ku address root causes hii no sarakasi tu. Aende AA classes kwanza ajifunze … Things, people and place’s.

Pombe humaliza watu kushinda hard drugs ama niaje?

Everything that exceeds the bounds of moderation has an unstable foundation.

:eek:Is this campaigning for WSR or destroying his mission? sometimes, many a times…I wonder if you are behind him or not.

io ni kwa wale wanapinga Ruto wakijiona wajanja na bado wanatapeliwa hapa town na comedians na mapastor fake kama kanyari

It’s just humiliating having all the donated money na huwezi iguza.

sijawai elewa vile munakuwa addicted na pombe . mimi hukataa maji but niko focused. i can decide to keep off alcohol for 1 month na sina issues zozote