…in a way ulipaswa kuyategemea yanayokutokea sasa. And I don’t mean kupoteza cheo - Kitwanga hata nae aliondolewa kwenye nafasi uliyokuwa nayo hadi majuzi lakini tofauti na wewe yeye hatukanwi kama unavyotukanwa wewe. Sikuwahi kuona watu wakishangilia mtu kutolewa madarakani kama walivyoshangilia ulivyotolewa wewe - na nina umri mkubwa tu wa wewe kuwa mdogo wangu wa tano kwa maana hiyo nimeona mara nyingi tu watu wakitolewa madarakani.
Kama kuna watu wanaofurahi kwa wewe kuondolewa madarakani ni wasaidizi wako ambao naambiwa ulikuwa unawanyanyasa hadi kulazimisha wakupe fedha!
Inabidi utubu tu sasa jamaa yetu; otherwise you’ll live with those demons the rest of your life.
Kweli kabisa Mkuu. Baadhi ya binadamu ni wa ajabu sana hawamuogopi Mwenyezi Mungu kabisa huweza kusema uongo wa hali ya juu ili kuharibu maisha ya binadamu wenzao pamoja na kujua wakisemacho ni uongo mtupu.