Plots for Sale in Sabaki, Mlolongo

Wadau, in the spirit of kujipanga, kuna plots nilipewa na mzae huko Sabaki near Hillcrest Estate. Ni plot mbili za 50*100. Upcoming birrionaires wanaweza niona kwa inbox tuelewane. Being yangu ni Kshs. 2.5 m per plot. Peasants wenye wanataka kubargain poleni. No bargaining. Mimi siko desperate to sell but I could do with extra cash in my investment huko Uganda. It is a direct transfer so you only pay for stamp duty (4%) and your legal fees if you opt to get your own advocate to counterpart my advocate.
Will attach some recent photos zile niko nazo saa hii ni mzee kidogo.

:D:D:D
[ATTACH=full]263320[/ATTACH]

How’s the Hillcrest area?

Not bad. Serious developments coming up; Hillcrest, ile estate ya mchinku etc. The plots(65 in number) are in a gated estate kind of arrangement.

clearly you are
https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSxAOpMOFLks3MIEiQ8pYzX77nqvXufJ9GBqbid_ONlbfpwVlvoNg

Kwa raha zako.

izo plot ziko na title kweli? si io area inazozaniwa?

Kuna area ilikuwa ya Numerical Machining Complex yenye utata. Huko watu wanauziwa certificate. Kwetu iko na deed plan na title.

hii ni kijiji. The neighbourhood is fine

Kuna fala ilijaribu kuniuzia plot pale Sabaki near some big real estate project, Casa-something, siikumbumki jina…halafu inaniambia hazina title. Piece of chieth. Siwezi shangaa kupata haka kapii pia kakijaribu kuuza plot bila title

:D:D:D:D:D