Nimecheza PS tangu ps1. Na Leo ndio nimejua story ya PlayStation network on a Sunday afternoon.
Nataka kufungua wallet yote. Ukiingia tao hizo games ni 5k. Yet mfg anauza na 1600-1800kshs
Alafu wale wa effidence ndio hiyo
Nimecheza PS tangu ps1. Na Leo ndio nimejua story ya PlayStation network on a Sunday afternoon.
Nataka kufungua wallet yote. Ukiingia tao hizo games ni 5k. Yet mfg anauza na 1600-1800kshs
Alafu wale wa effidence ndio hiyo
[ATTACH=full]238523[/ATTACH]
We have bn doing that for a long time bruh
[ATTACH=full]238525[/ATTACH]
M
Mfg ni nani? But u know lazima uwe na internet pia kama ni download.
Na mbona hamtuchanui sisi washamba
Game ya 2015, £16 ni kuporwa.
Caretaker kama umechip PS yako usipeleke kiherehere PSN.
Still expensive. Bought for my kid MK XL in tao @1,200 and the PES at Two rivers mall @1k.
[ATTACH=full]238533[/ATTACH]
I hope that kid is @uwesmake for that game is rated 18+
@under23 Hess u take haiingiani kapsaa 16x145 ni 1800 kweli
Sijachip
Ps network. I have saf fibre
Better than town cbd
Tao wapi
X Gamers techonologies pare luthuli will hook you up. Chit chat can go a long way for info extraction, sio lasima utumie pesa.
You do realize kuna MK 11
Karibu matatu za embasava
Kwa wale machinku upstairs?
Hapana. Wakenya tu. Somewhere juu ya duka za chips.
Huyo mchinku ni kama aliuza hio biz. Siku hizi hayuko hapo, ni mafala flani.