I got bored with city life one weekend mfukoni Niko na thao nne …nikafikiria au nifike pwani…on low budget… I booked sgr ticket luckily there was a sit …
Morning nikachelewa kuamka but nikamanage kufika pale athi river station nikachukuliwa hapo… In the next few hrs nilikuwa county 001 , my mission ni kufika pirates beach Mimi huyo Kwa tuktuk , na huko tuktuk ziko open sio kama hizi za Nairobi u wonder au uko ndani ya drum …plus mbio zinaenda huwezi ona kina halima na zainabu vizuri…