Photochop gone wrong

Hii ni photochop ama ndrama. On a serious note … why is it that a shoe has to come out when one is knocked down na mtokaa, nduthi ama hata bike ka ile ya @The.Black.Templar ??

[ATTACH=full]4028[/ATTACH]

5 Likes

Amevaa open shoes izo zikitoka hamna shida!

Priceless

The guy wearing yellow sandals nearest the scene seems unaware but many others are facing the accident. I can’t tell if it’s Photoshop

Apparently ilikuwa crash ya nduthi mbili during street celebrations after Buhari’s election win. The fellow in white kanzu flying was a passenger in one of the nduthis.

Waah! Naona ka mulika mwizi kakianguka kutoka kwa kanzu pocket ya the man in white. Still the pose looks awkward, the photographer read photochoper deserves a medal. That was some perfect timing.

This is total celebration when you’ve been informed its a baby boy.

Hehe

huyo dere wa nduthi ameingiwa ngumi na passenger wake :smiley:

1 Like

Kuna tales that when mtu hugongwa na speeding car socks hutoka kwa mguu but intrestingly viatu zinabaki intact ! Ama women bra na under garments missing na dress iko intact ! Hii si hekaya

2 Likes

picha ya hii si hekaya…iyo hapo juu ni picha taken at the right moment…

1 Like

http://sc.mogicons.com/resources/images/homer.png

Inakaa nikama the passenger was trying to shikilia himself akajipata ameshikilia pua ya rider.

[SIZE=4]

Change the heading to Photochop gone wrong street celebrations[/SIZE] gone wrong.

I thought it was a photoshop juu ya hio styro huyo mujamaa amejotwa na vyenye huyo dere wa nduthi amechukua poze

how comes the guy in orange has his camera ready that fast,

I guess he was part of the photochop conspiracy

haha kabambe, wasee muna usoro

haha. Reminds me of Ngong road mahali furniture hutengenezwa! Apparently all accident victims who were hit on that road walikuwa wamebeba kanyama wakienda home! Statistics from kinyanjui the butcherman said that hakuna mtu ashaichotwa akikuja kwa butchery. Na kiatu ya left ndio hutoka sana! Ata ashaiona timbaland ikitoka! Kuchotwa si mchezo!

3 Likes

hahaha day made!