Ebu tuambiane ukweli hapa. Nia na sababu ya story ya mathao kurudishwa bank ni nini? Na ukipeleka huko kuna vile unajaza tuform fulani hapo. Mbona ivo na doh ni zako?
Pesa SIO zako. Pesa ni za state! Same with the Passport, Electric Meter and many other state apparatus. Hata wewe sio wa baba yako ama mama yako ni wa Inchi, same with minerals in your shamba. Ndio maana huwezi ua watoto wako kama unavyo ua kuku ama mbuzi, lazma uwajibike.
Kuna watu waliiba pesa Mingi kwa Government na wameweka chini ya Bed so hao ndio wanatafutwa.
Butvi have worked for it. That is money brother
Whatbabt you mwananchi wa kawaida?
Ili ujue pesa sio zako, enda uza bangi upate millioni moja ushikwe, you will forfeit that cash to the state. Sasa najua utauliza what about clean money that you have worked for? Pesa iko Na HeadLine Hapo Juu : Banki Kuu Ya Kenya in Bold in both Kiwahili and English. Pesa ni ya State Kwa sababu hata wewe ni Mali ya state
Hahahaaa… sawa mkubwa wangu, nimekuelewa. Nyinyi ndo wale wasee
As long as the sources aren’t hekaya za giants you are good.
Same of us don’t believe in banking ! Unalala na pesa yako !
Hebu nenda pale Uhuru Park ujaribu kurarua noti 50/- hadharani, ata kama ni yako utambue.