Peru v Denmark. Historia kwa Tanzania

Yussuf Poulsen wa klabu ya RB Leipzig ya Ligi Kuu Ujerumani (Bundesliga)ni mtu wa kwanza wa asili ya Tanzania kufunga bao fainali za Kombe la dunia.

Baba: Tanga, Tanzania
Mama: Denmark

[ATTACH=full]176708[/ATTACH][ATTACH=full]176709[/ATTACH]

he he he…hata kama hatuko, tuko!

Kabisa. Nakumbuka 2014 nikimshabikia Origi alipofungia Ubelgiji

Lazima tulazimishe.

Mungu hakunyimi kila kitu.

Hata Jakuon alisema Obeezy ni mtu yao .

Hongera sana Tanzania

Wanaume tukipata nafasi tugegede ili kuzaa nje maana ndo naona inatutoa kimaso maso

Hiki kiswahili hakuna Mkenya anaweza kujua umeandika nini

@Phylgee njoo nikuzegede tafadhali

ngombe wadhani hatukusoma lugha ya kiswahili?

kugegeda ni nini?
Papuch unaijua
Dushe je? pusi wewe

We kama hujui ni wewe tu. Zengulika pekeyako wenzako hakuna kitu hatuelewi

somehow, anyhow…:D:D

@Phylgee anaelewa kiDuruma?

tofauti ni kuwa Divock Origi ako na damu ya Kenya 100%.

Baba - Mike Okoth Origi (Mkenya)
Mama - Linda Adhiambo (Mkenya)

Divock alipata uraia coz alizaliwa Belgium wakati babake akichezea ligi ya Belgium

Hata hii yawa? Kwani mwafikiria Swahili is some sort of algorithm?

safi kabisa

Kweli huku ni kuchoka aisee! Mi sioni cha kujivunia hapo.

Ng’ombe.