PEASANT WA LAVINGTON

Naulizaaa, anyone here with links to a person/rich relative with a main house and a SQ to rent out around Lavington,Kileleshwa,Kilimani,Jamhuri, Waiyaki way anipe.Bei pia ikuwe ya peasant kimpango

wacha kusumbua. enda kinoo ama ngwach utafute mabati ya bei ya two-five .

Keja za Peasants ziko Hizi ma area kama…
[SIZE=5]Peasant name- birrionaires name[/SIZE]
[ul]
[li]Kawangware- lower Lavington, [/li][li]Kibera- west Kilimani[/li][li]Kabete- west Lavington[/li][li]Kangemi- upper loresho[/li][li]Dago- upper kilimani[/li][/ul]
Kunguru akikuliza unaishi wapi sema jina za birrionaires Utapata slices bila stress

Simply mshow, “go where you belong”

Aede waruku

Ruaka-Runda View

[ATTACH=full]250595[/ATTACH]

:D:D:D:D:D

kama hungekua mtu wa ktalk ningepea wewe sq.

Kama ungetaka Sq Muthaiga kunayo. 45K

I know one. 75K. But maji unajitafutia na hakuna kupika na Kuni

hehehe inbox details hatuezi kosana

:D:D:D

let me get you my neighbour’s details upigie yeye…we have very good sqs …yangu I would rather rent to a slay queen.

Budget yako pesa ngapi nikutafutie within Kilimani, kile, lavington, Westland?

Akuje hapa Ruiru kuna 2 bedroom and the package will include Nissan Note at his disposal all he needs is fuel for the 75k

kuna mmoja hapa anatafuta pia btw

While at it, how much is a house in Kilimani, Westlands hivi? Kununua hivi.

Sq pia inakuanga na Sq

house house with a compound?? 100m plus.