Peasant probrrrrrems

Sasa jana nimetoka mjengo ma 5.30 jioni. Being a Friday, natembea tao kiasi. Hapo Mwembe tayari karibu Coast Bus kuna jamaa mimi huona na ma shati poa.Jamaa hua hana stall. Nikacheki ako na shati swaaafi kuruka. Nika songea karibu vile Uwesmakende husongea Momo . Akanishow nipime faster juu huwa kunakua na kanjo hutokea ghafla…Akaniuliza kama nina pesa ndogo but apparently nilikuwa na 1k. Between me and poverty. Shati tumeskizana ni rwabe. Kidogo anaulizia hawker mwenzake “change”, mmoja wao akawika “kanjo ndo haooooo”… Nilijipata nimebaki na shati nimevaa half way. Na hiyo ngiri pia imeenda…

Sadness of life

8 Likes

Atleast you have the shirt,

1 Like

Pole…nimenunua shati kadhaa hapo pia

@Mundu Mulosi ,amebaki na shati lakini hawezi ipika akule…kijana ako mbaya saidi

4 Likes

ulibaki design ya hiyo avatar yako

7 Likes

:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

Usijali, watu wa mjengo ulipwa sato. Jioni utakua na pesa kama mzungu mgeni

Mjengo gani hiyo mnalipwa 1k per day? @uncle nyam na @upepo kujeni haraka. hapa kuna kazi poa

3 Likes

yeye ni fundi aka mason…

Tulia, hakuna mahali amesema walikuwa wamelipwa

1 Like

Sijawahi ona msee wa mjengo anatembea na more than 200/= kwa mfuko

Sasa umemuona wa kwanza sasa tulia

3 Likes

Hehehe. Nafikiri hii ni mshahara ya wiki mzima, after amelipa mama uji 500 bob.

Hebu nitafutie DL ya BCE, nijue kupeleka Swaninaryan pia. Mnalipwa ngapi per day?

BCE unabonga poa na jamaa wa Herzt driving school unapata stamp. Swaminarayan maisha ni ngumu. Mnalipwa per trip na ukiwa mgeni unapatiwa Tata mzee ile iwezi enda trip tatu kabla iharibike.

pole braza…lakini sisi mbirrionaries hununua shati more than 1k so you’re in good company.

inaonekana uliingia kwa mhindi kitambo sana

Kuna watu wanaeka 250

before mugoya folded up,the roofing guys were paid 540 per day,so hiyo 1k ni possible depending ni pande gani bora sio mtu wa mkono.

Hamia Ruiru basi. :D:D Watu wa mkono hulipwa Kshs 500 per day, fundi ni 1k daily. Kila fundi ako na mtu wake wa mkono.

2 Likes