Paying rent and expenses for your girlfriend

Elders
I need some wisdom this Sunday morning.

Should I be paying rent and other expenses for my girlfriend?
Kuna msichana huwa ananiitisha dooh za rent na expenses zake. Nimekausha kichwa kabisa.

Should a man be expected to pay rent for the girlfriend?

How do you approach this issue elders?

It will end in premium tears

Educate yourself on Briffalty’s Law(sp).

Usijaribu kuingia hiyo box…ajipange na kama hana kazi, arudi kwao. What you can do if she is ur real woman, u can chip in just incase her salary delays. Mtu mzima asiwe anapata riziki yake huku anakufuata fuata umtimizie majukumu…

Kuna dame wa campus alianzanga hizi ujinga. Ati baba yake hajatuma rent for 2 months. Nikamshow akuje tuishi pamoja kwa sababu Siwezi lipa rent nyumba 2 hii Nairobi.
Fortunately, landlord hakumfukuza na rent ilipatikana every month since then.

Evaluate situation, if she’s needy ama ni extra cash anatafuta.

Don’t try to solve your girlfriend problems because it will never end lakini uwe unamrushia thao moja mbili…

The most you can do is just money for salon and clothes occasionally. Don’t go beyond that.

Fungua Google and paste the following.

Site:kenyatalk.com Paying rent and expenses for your girlfriend

Soma threads za elders because these topics tushamaliza.

that’s true…mara nimlipie rent, ati ako na madeni nimlipie etc

muritugi
You name speaks volumes

Not so wise, sir.

MGTOW= FREEDOM… gal friend ni mnyama gani huyu,ama ni a type of cabbage?

Sounds like she wants you to pay her for being your girlfriend, run nigga, run!

Fuga yeye kwako ulipe nyumba moja, sinkulipia msichana nyumba alafu fisi wengine wamkamulie huko.

MEN WHEN WILL YOU STOP PAYING THE OTHER GENDER SO THAT THEY CAN LOVE YOU BACK???

Siku hizi kuna gender equality so a woman should be able to have her own source of income…don’t try that shit…the essence of educating both genders is that at the end of the day kila mmoja apate job/hustle/run their own business so that at the end of the day wakiingia kwani relationship the only thing they are looking for is love and not help (usaidizi)…if you don’t follow this rule the following will happen:

  1. She will eventually dump you for a wealthier provider (hypergamy)
  2. She will prefer to be a housewife if you tie her down in marriage juu after all she’s lazy na ukipoteza job/pesa ikipungua madharau itaanza & incase you die kama vile @Agwambo husema watoto Wako watakuwa chokora after all kama hajui kujitafutia atajuaje kumanage property/wealth
    3.Utakuwa unamtunza (kumlipia rent & other expenses) majamaa wengine wanakuja kukula na kumkula kwa nyumba yake for free.

Don’t pay hizo expenses… Unalipa then ndume mwengine anakuja kwa hio nyumba kukula vitu

Very easy, ambia huyo girlfriend akuje akae kwako, as you incur expenses on the other hand you are banging that pussy regularly, lakini ujinga ya kulipa nyumba mbili usikubali ata kidogo.

Reason #587234 why i hate this village sometimes. Kwani unaishi kwa wazazi bado ,ama uko na khupipi? Why the fcuk would you pay rent for a kunguru adinyiwe ukiwa nje? Jiiisas
[ATTACH=full]454608[/ATTACH][ATTACH=full]454607[/ATTACH]

Basic needs ( Food,shelter, clothing ) ajisort mwenyewe.
The other needs mnaweza gawana 50 50 ama however you chose to do it.

https://youtube.com/shorts/BEDHehvDiy4?feature=share
Chunga iyo blue pill isikunyonge. Ukichezewa rough, usiseme hukuambiwa.
[ATTACH=full]454612[/ATTACH]