pata potea

Hapo otc iko majamaa hucheza hii mchezo ya cards wamewekelea juu ya box.dont ever try to play.they let you win for a while and then they ripp you off.huezi toka hapo hadi pesa zote umeshinda zirudi.i lost my 500 bob there recently.

why would any sane person play those games.Hapo ulijipeleka kwa kichinjio.

hapo sasa tutakusaidia aje?

hao watu ukiwakula huwes enda na pesa yao… wanakuanga na watu kando … ukihepa unakimbizwa na jeshi ya watu

post ni ya Nov 5 2014