Pank

Sijui niaje all over naona kila mtu amenyoa pank vile tulikua tunanyoa in the nineties ama inaitwa box, mohawk madem sijui shida iko wapi .

Mimi siku hizi hunyoa tu Rabondo ama Jordan kwa kinyozi na si ati Mimi ni mzee Kama @Makonika

Teens kuweni innovative kiasi muwache kukopiana.

Homo @poyoloko -Nyam , you are 45 years for Pete’s sake wacha kuweka curly kit. Grow up ghassia

na “cut” ya side

Mbwa kaseer Tucker Tucker, badala ufagie equity huu ndio ushoga unaamkia wa kuangalia wanaume vichwa

Ile cut @gashwin aliingiza @Mrs Shosho box circa 1991

[ATTACH=full]247361[/ATTACH]

Nappy Seal nisaidie ile kofia yako ulienda nayo team building Malindi.

[ATTACH=full]247362[/ATTACH]

Na MaMilf siku hizi wanacopy akina first lady.

Fashion is cyclic.

30 green emojis:D:D:D:D

Imagine a 34y.o man amenyoa kipara and has a quadrijoint disabled finger and mdomo kauka inanuka gilbeys ya juzi haja brush hata meno since last week but one anazurura tao after kutoka kula chips kavu pale sonford na maji ya tap akicheki hairstyle ya maboy. This is sad. Very sad. Ninamuhurumia

Kenya uniform

Skuizi me napiga kichwa saf ka balloon ki shaolin, we used to call it Jordan. But izo enzi my style was submarine :cool:

Mzee uko nyuma sana
haitwi Pank
siku hizi inaitwa Fade

Thank you for the closure nilikuwa nmeshangaa mzee anaongelea style ya stone age ama

Hehe, curly kit bado iko?

Reminds me when I was a kid growing up in the 80s and one of my elder bros in secondary school watched this video alafu aliamua kuweka curly kit (the song is sawa btw and I still like listening to it once in a while):

When oldman saw him he was accused of trying to look like a woman and ordered to go wash of the oil in his hair by taking a shower :smiley:

Yani when the guy chomokad from that shower that hair was in pretty bad shape :D:D:D alionekana kuku imenyeshewa.

:D:D

My older sister used to do that shit to me:D:D:D

Oh,hii ngombe mujinga bado ndio hufagia office ya manager?

Aango @uwesmake ,Ile style ya shinny eyes ya kunyoa chini kwa sides na top alafu unaacha afro hapo kwa kisogo ilikua inaitwaje?

:D:D

Sikumbuki baba