[FONT=courier new]Shujaa wa kweli huwa haogopi vifuatavyo:
[/FONT]
[INDENT][FONT=courier new]Kukosolewa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kushauriwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kusemwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kudhihakiwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kutukanwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kujadiliwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kusanifiwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new][/FONT][/INDENT]
[FONT=courier new]Kweli sasa nimeamini kwamba kumpiga ’ teke ’ Chura ni kumuongezea mwendo wake na sasa huku ndiyo tutatiririka na kuserereka vizuri hadi mnune na mpasuke ’ misamba ’ yenu.
Ahsanteni sana Wakenya na hii Kenya Talk yenu.[/FONT]
[FONT=courier new]Aliyekuambia nimeingia huku ’ Kichwa Kichwa ’ kwa details zangu kamili nani Mkuu? Tuna akili kama walizonazo Wao na pengine huenda zetu zikawa zimezidi walizonazo.[/FONT]
[FONT=courier new]Acha ’ Upopoma ’ Mkuu na usitake hasira zangu nilizonazo kwa TCRA kwa kutuondolea ’ uhondo ’ wetu wa JamiiForums niuhamishie Kwako sawa? Sijabadilika na Mimi ni yule yule tena huenda huku sasa ndiyo nikawa ’ moto chini ’ zaidi ya kule.
ID yangu hivyo unavyoiona ndivyo inavyoandikwa na Mimi napenda iwe hivyo hivyo. Hata katika Social Media accounts zangu zote za Facebook, Instagram na Twitter ipo hivyo hivyo ila kule nimeliongezea jina langu lingine la ’ Antibioutique '.
Huyu ndiyo GENTAMYCINE Mkuu.
Jadili mada / uzi acha kusumbuka na kuhangaika na ID yangu kwani itakutesa bure![/FONT]
Kweli sasa nimeamini kwamba kumpiga ’ teke ’ Chura ni kumuongezea mwendo wake na sasa huku ndiyo tutatiririka na kuserereka vizuri hadi mnune na mpasuke ’ misamba ’ yenu.
Ahsanteni sana Wakenya na hii Kenya Talk yenu na niseme tu kwamba Shikamoo Teknolojia.