[ATTACH=full]177450[/ATTACH]
Sawa
Hatupaswi kuiga kila tunacholetewa toka ughaibuni
Why trying to go against nature??? The world is gone mad
Hivi mnaanzaje kukivaa na unakiwekaje?
Mbona mambo mengine ni mateso tu
Jirani vp? umekipenda?
Hahahaha soon tutaviona hivo vikojoleo bongo
Hata sijakielewa jirani
Kariakoo vipi??,vinapatikana?
Ili iweje?
Hahah!!
Unakinatisha kwenye Papuchi ili ili wakati wa kukojoa hakuna kuchuchumaa
Kwa mbaali naona pochi za wanawake zinazidi kujaa makorokoro.
Gaiiii kikojoleo juu ya kikojoleo
muulize huyu Raynavero
dah upumbavu huu, juzi manzi kanidindia kitu nikamwambia we are over, huwezi pingana na nature.
Hivi vinafaa bongo…maana vyoo vya watu wengi vinatutesa wadada kwa UTI na fangasi
Haya mambo mengine bhana
Mt. Congo
Zitatusaidia sana safarini kuchimba dawa na kwenye public toilets