Pale kwa Hoho

Wanakula tearges kweli
@Meria Mata siukimbie

[ATTACH=full]132676[/ATTACH] [ATTACH=full]132677[/ATTACH]

I think the police in Mwombasa are overzealous coz mimi sioni protesters, naona tu tukutuku ya scampaka

he he…io moshi itaisha kesho

wacheni ushuru itumike…hio pesa ingeenda kwa mifuko za watu.

Labda even the atmosphere is protesting :smiley:

They are pissed becoz they got outta bed early and the mf*ckers didn’t show up? :wink:

Twapiga protesti kwa raha zetu twaingia 12 twatoka 2 Hamna mbio huku